Adbox

Tuesday, September 24, 2019

Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na Mwakilishi wa WHO

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tigest Ketsela Mengestu. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Adbox