Adbox

Tuesday, September 24, 2019

Baraza la Mawaziri lakutana chini ya Rais Magufuli

Rais John Magufuli alipoongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo, Jumatatu Septemba 23, 2019.

Katika kikao hicho pia kupitia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliwasilisha mapendekezo na ripoti ya Kamati ya mawaziri wanane waliozunguka katika maeneo yenye migogoro ya ardhi vikiwemo vijijini vilivyopakana na hifadhi na mapori ya akiba.

Kamati hiyo iliyoongozwa na Waziri wa Ardhi, William Lukuvi ambao imegundua kuwa vijiji vilivyokuwa na migogoro ni 975 badala ya idadi ya awali ya 366 na kati ya hivyo vijiji 920 vilivyo ndani ya hifadhi Baraza la Mawaziri limekubaliana kuvirejeshe kwa wananchi na vipangiwe matumizi bora ya ardhi na viweze kupatiwa hati, mipaka ihakikiwe upya na serikali imeamua kufuta mapori 12 yenye ukubwa wa ekari zai.

No comments:

Post a Comment

Adbox