Waziri Mwakyembe amempongeza Bondia Shaban Ramadhan (Dullah Mbabe) baada ya kuibuka mshindi wa Dunia katika ngumi za kulipwa na kushinda mkanda wa uzito wa kilo 76. Pongezi hizo amezitoa mapema jana wakati Bondia huyo alipofanya ziara Bungeni Jijini Dodoma.
Thursday, September 5, 2019
Bondia Dullah Mbabe afika Bungeni, Waziri Mwakyembe ampongeza
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment