Adbox

Sunday, September 1, 2019

Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Mbagala kwa tiketi CUF atimkia ACT Wazalendo

Aliyekuwa mgombea wa ubunge wa Jimbo la Mbagala mwaka 2015 kwa tiketi ya CUF, Kondo Bungo amejiunga rasmi na chama cha ACT Wazalendo na kukabidhiwa kadi na Mshauri Mkuu wa Chama Maalim Seif Sharif Hamad kwenye Mkutano Mkuu wa Jimbo la Mbagala uliofanyika leo.

No comments:

Post a Comment

Adbox