Adbox

Friday, August 2, 2019

Uhuru Kenyatta apokea Tausi wanne kutoka kwa Rais Magufuli


Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta leo amepokea zawadi ya tausi wanne kutoka kwa Rais John Magufuli ambao amewapokea kutoka kwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Pindi Chana, ambaye pamoja na zawadi hiyo pia amemfikishia salamu kutoka kwa Rais Magufuli.

No comments:

Post a Comment

Adbox