Adbox

Friday, August 2, 2019

Picha: Watumishi wa Bunge wachagua Baraza la Wafanyakazi Bungeni


Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakifuatilia jambo kwa makini Bunge walipokuwa wakichagua Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo kwenye ukumbi wa Msekwa hii leo Jijini Dodoma

Katibu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) Mkoa wa Dodoma Ndg. John Mchenya akiongea na Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge walipokuwa wakichagua Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo kwenye ukumbi wa Msekwa hii leo Jijini Dodoma

Mtumishi wa Ofisi ya Bunge Ndg. Frank Ngonyani akichangia jambo mbele ya kikao cha  Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge walipokuwa wakichagua Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo kwenye ukumbi wa Msekwa hii leo Jijini Dodoma

No comments:

Post a Comment

Adbox