Adbox

Saturday, August 10, 2019

Rais Magufuli awalilia waliofariki ajali ya Lori la Mafuta


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya vifo vya watu zaidi ya 60 na majeruhi 70 waliongua kwa moto baada ya Lori lililokuwa na shehena ya mafuta kupata ajali kisha kulipuka moto Mjini Morogoro.



No comments:

Post a Comment

Adbox