Adbox

Saturday, August 17, 2019

Picha: Marais Wastaafu wakiangalia Jarida linalohusu mkutano wa 39 wa SADC

Marais wastaafu wa Serikali ya Tanzania Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete, Amani Abeid Karume wakiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu Balozi John Kijazi wakiangalia jarida linalohusu mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC 2019.

Leo Agosti 17,2019 Wastaafu hao wapo katika mkutano mkuu wa Jumuiya hiyo unaofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Adbox