Wizara ya elimu sayansi na teknolojia ya ufundi imetenga kiasi cha sh. Bilion 40 kwa ajili ya ujenzi wa vyuo vya mafunzo ya ufundi stadi VETA hatua ambayo itasaidia vijana kupata ujuzi ili kwenda sambamba na adhma ya serikali ya awamu ya tano ya uchumi wa Viwanda.Yameelezwa hayo katika uzinduzi wa chuo cha mafunzo ya ufundi stadi VETA wilayani Urambo mkoani Tabora waziri wa elimu, sayansi na teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amesema chuo hiki ni fursa kwa vijana katika kupata ujuzi huku akisisitiza kutunza miundo mbinu hii ambayo imegharimu pesa nyingi.
Wednesday, July 10, 2019
Wizara ya Elimu kutenga Bilioni 40 kwaajili ya Ujenzi wa Vyuo
Tags
# Habari mpya
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Habari mpya
Tags:
Habari mpya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment