Adbox

Saturday, July 13, 2019

Waziri wa Maji aanza kutekeleza agizo la Rais Magufuli

Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa amewahakikishia wananchi wa Kyaka, Wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera kupata huduma ya majisafi na salama kutoka Mto Kagera ifikapo Disemba, 2019.Kauli hiyo aliitoa wakati wa ziara yake Wilayani humo ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli alilolitoa Julai 11, 2019.

No comments:

Post a Comment

Adbox