Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni afanya Ziara Binafsi ya siku 1 moja hapa nchini.
Rais Museveni anamtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kijijini kwake Mlimani katika Wilaya ya Chato Mkoani Geita.
Akiwa Chato, Rais Museveni atafanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Magufuli
Saturday, July 13, 2019
Rais Museveni awasili Chato
Tags
# Habari
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Habari
Tags:
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment