Adbox

Wednesday, July 10, 2019

CAF kufanya mkutano wa kupanga ratiba ya kufuzu AFCON 2021 nchini Cameroon

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) litafanya mkutano mkuu Julai 18 katika Ukumbi wa Aida Ballroom, wa Hoteli ya Marriott, Cairo, Misri na moja ya ajenda ni kupanga ratiba ya kusaka kufuzu kwa AFCON ya Cameroon 2021.

Tanzania imepangwa katika chungu cha tatu pamoja na Madagascar, Zimbabwe, Central Africa Republic (CAR), Namibia, Sierra Leone, Msumbiji, Guinea Bissau, Angola, Malawi, Togo, na Sudan.

No comments:

Post a Comment

Adbox