Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makambaamesema ni lazima athari za usafiri wa magari ya umeme kwenye mazingira ziangaliwe kabla ya huduma hiyo kuanza.
Makamba ametoa mwongozo huo kupitia ukurasa wake wa Twitter kufuatia taarifa ya TANAPA iliyoeleza inajipanga kuleta usafiri wa magari ya umeme ili kurahisisha utalii.
Leo Makamba ameandika ”Inabidi watu wa Mazingira tupitishe na kutoa cheti kwanza kabla hawajaanza. Na tutafanya studies ili kujua impact kwa mazingira na uthabiti wa mitigation measures”.
No comments:
Post a Comment