Serikali imefuta kesi 70 zilizokuwa zinawakabili watuhumiwa mbalimbali waliokuwa kwenye gereza Kuu la Butimba ikiwepo Kesi namba moja ya uhujumu uchumi namba moja ya Mwaka 2019 ya utoroshaji wa dhahabu inayowakabili askari Polisi wanane mkoani Mwanza.
Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Augustino Mahiga, amesema hayo alipozungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza, jana baada ya kutembelea magereza ya kanda ya ziwa, ambapo katika Gereza la Butimba amekuta na mahabusi waliokaa kwa miaka mitano kutokana na upelelezi wa shauri kutokamilika (kulia) ni Mkurugenzi wa Mashtaka, Biswalo Mganga
Thursday, July 18, 2019
Watuhumiwa 70 kufutiwa kesi Butimba
Tags
# Habari
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Habari
Tags:
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment