Mkuu wa wilaya ya Arumeru, Jerry Muro kwa kushirikiana na ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana, ajira na wenye ulemavu watatoa fursa ya mafunzo kukuza ujuzi kwa vijana wa Arumeru
DC Muro amefafanua kwa mkoa wa Arusha ikiwemo Arumeru mafunzo yatakayotolewa ni ufundi umeme wa jua (solar) , mafunzo ya kutengeneza kompyuta na mafunzo ya ufundi umeme kwa vijana.
Mchakato wa uandikishaji na utoaji wa mafunzo utafanyika katika chuo cha killtec moshono, huku mafunzo hayo yakiwa ni bure kabisa
Thursday, July 18, 2019
DC Arumeru atoa fursa hii kwa vijana
Tags
# Habari
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Habari
Tags:
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment