Adbox

Friday, July 19, 2019

Wakamatwa na dawa za kulevya na noti bandia

Mwanaume aliefahamika kwa jina la Samwel Temu (40) mkazi wa Sanawari jijini Arusha , anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Manyara kwa kosa la kukutwa na noti bandia nane za elfu kumi kitendo ambacho ni kosa la jinai.

Mtu huyo alikamatwa huko Songambele kata ya Mirerani wilaya ya Simanjiro mkoani hapa July 14 mwaka huu.Aidha Kamanda Senga amewatahadharisha wananchi wa Mkoa wa Manyara kuwa makini na fedha za mtuhumiwa huyo ambazo tayari zipo kwenye mzunguko

No comments:

Post a Comment

Adbox