Mkuu mpya wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro ameapishwa leo Julai 19, 2019. Hafla ya kuapishwa kwa Mtatiro imeongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme na kuhudhuriwa pia na wakuu wengine wa wilaya katika mkoa huo.
Julai July 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli alimteua Julius Mtatiro kuwa mkuu wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma.
Mtatiro alichukua nafasi ya Juma Zuberi Homera ambaye ameteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Katavi.
Friday, July 19, 2019
Julius Mtatiro aapishwa kuwa DC wa Tunduru
Tags
# Habari
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Habari
Tags:
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment