Jeshi la Polisi kanda maalum Dar es Salaam linamshikilia Daudi Rmadhani Iddy (23) mkazi wa Tabata Segerea kwa kujifanya ofisa wa Polisi, akiwa amevaa sare za Jeshi la Polisi na cheo cha mkaguzi msaidizi wa Polisi( Assistant Inspector).
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE


No comments:
Post a Comment