Adbox

Tuesday, July 16, 2019

Rais Magufuli aipa siku tano Wizara ya Ujenzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Tuta la Sehemu inapojengwa Chelezo kubwa yenye uzito wa Tani 4000 kwa ajili ya Ujenzi wa Meli mpya kubwa na ya kisasa itakayohudumu katika Ziwa Victoria kutoka Mwanza kwenda Bukoba, Kisumu(Kenya) na Jinja nchini Uganda.

No comments:

Post a Comment

Adbox