Adbox

Saturday, July 27, 2019

Picha: Rais Magufuli alivyorejea Dar kwa Treni ya TAZARA

Hakika Rais Magufuri amewekwa na MUNGU sio kwa akiri zetu.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wananchi katika stesheni ya Kisaki wakati akiondoka kwa treni ya TAZARA iliyomchukua kwenda na kurudi kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa kuzalisha umeme MW 2,115 wa Rufiji katikati ya mkoa wa Pwani na Morogoro 


No comments:

Post a Comment

Adbox