Adbox

Saturday, July 27, 2019

BREAKING NEWS: Rais Magufuli atoa maagizo haya usiku wa kuamkia leo



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kuchunguza matumizi ya shilingi Bilioni 15.3 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya kughamia matumizi ya Mamlaka ya usafiri wa Reli Tanzania na Zambia (TAZARA).


No comments:

Post a Comment

Adbox