Adbox

Tuesday, July 30, 2019

Picha: IGP Sirro apokea msaada wa magari mawili na Pikipiki 10


Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Simon Sirro akipokea pikipiki miongoni mwa msaada wa magari mawili na pikipiki kumi kutoka kwa maafisa wawakilishi wa Shirika la Upelelezi la Ujerumani (BKA) Bwana Rene Becker (kushoto) na Bwana Harald Gessner. Hafla ya kupokea msaada huo imefanyika leo Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam


No comments:

Post a Comment

Adbox