Adbox

Friday, July 19, 2019

Nani atanyakua kombe la mataifa la AFCON kati ya Algeria au Senegal?

Toka michuano ya AFCON kuanza Algeria ndio imekuwa timu bora katika kinyang'anyiro hiki hadi kufikia sasa, ilishinda mechi zake zote za kundi lililojumuisha wapinzani wao wa leo Senegal. Kenya na Tanzania pia walikuwa katika kundi hilo. Katika mechi ya mtoano ya raundi ya 16 iliwazaba Guinea 3-0 halafu katika robo fainali wakawazidi kete Ivory Coast kwa mikwaju ya penalti.

No comments:

Post a Comment

Adbox