Adbox

Monday, July 15, 2019

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani atembelea kiwanda cha Gereza la Butimba

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (aliyevaa mavazi ya kiraia), akiangalia moja ya bidhaa zinazotengenezwa na wafungwa katika Gereza la Butimba, jijini Mwanza ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli la kutaka wafungwa watumike katika shughuli za uzalishaji.

No comments:

Post a Comment

Adbox