Adbox

Saturday, July 6, 2019

Iran kuendelea kurutubisha madini yake ya Uranium

Rais wa Iran Hassan Rouhani amefahamisha ya kwamba Iran itaendelea na mradi wake wa kurutubisha madini ya Uranium.

Rais Rouhnai amesema kuwa Iran ÅŸtafanya iwapo mataifa ya Ulaya yaliosaini makubaliano ya nyuklia na Iran yatakiuka makubalian hayo.

Iwapo mataifa hayo hayatoheshimu makubaliano hayo basi Iran ataanza kurutubisha maddini yake hayo ifikapo Julai 7 mwaka 2019.

Kauli  hizo za rais wa Iran zimefuatia mvutano uliopo kati ya Iran na Marekani kuhusu makubaliano ya nyuklia  ulioibukwa mwaka uliopita.

Rais Ruhani katika mkutano  uliofanyika nchini  Iran Jumatano, alisema kuwa Iran ÅŸtaongeza kiwango cha urutubishaji wa Uranium kwa asilimi  zaidi ya 3,67.

Kwa kumalizia rais huyo wa Iran ametolea wito mataifa ya Ulaya na Marekani kuheshimu  sheria za kimataifa na maamuzi ya baraza la usalama la Umoja wa Mataifa.

No comments:

Post a Comment

Adbox