Adbox

Wednesday, July 3, 2019

HATIMAE AMERUDI: Ajibu amesaini Simba SC Miaka miwili





“Safari ya mtoto kuishi mbali na nyumbani imefikia ukingoni, Ibrahim Ajibu ameamua kufanya maamuzi sahihi ya kurudi nyumbani Msimbazi, ndio amerudi na amesaini mkataba wa miaka miwili kucheza na kuwapa furaha Wanasimba, karibu nyumbani Ajibu” ni maneno yaliyoandikwa katika  ukurasa rasmi wa klabu ya Simba SC ikiambatanishwa na picha za Ajibu akisaini mkataba wa miaka miwili.

TAIFA STARS YATOLEWA KINYONGE AFCON, HII NDIO KAULI YA SAMATTA


No comments:

Post a Comment

Adbox