Nyota wa zamani wa klabu za Simba na Yanga Hamis Kiiza, amejiunga na timu ya Pro Line.
Timu hiyo ya Uganda ni mabingwa wa kombe la Shiikisho kwa msimu uliopita na itashiriki Ligi Kuu ya Uganda msimu ujao.
Kabla ya kujiunga na timu hiyo Kiiza alikuwa anaitumikia timu ya Vipers FC.

No comments:
Post a Comment