Baraza la mpito la kijeshi la Sudan na kundi la upinzani wamesaini makubaliano ya awali kuhusu azimio la kisiasa, linalotaja miundo ya kipindi cha mpito.
Akiongea kwenye hafla ya kusainiwa kwa makubaliano hayo, naibu mwenyekiti wa baraza hilo Bw. Mohamed Hamdan Daqlu, amesema kusainiwa kwa makubaliano hayo ni hatua ya kihistoria inayoanzisha zama mpya ya ushirikiano.
Amesema makubaliano hayo ni matokeo ya juhudi kubwa zilizofanywa na wasudan wanaosubiri uhuru na haki kwa muda mrefu.
Thursday, July 18, 2019
Baraza la kijeshi Sudan na wapinzani wafikia makubaliano ya kisiasa
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Habari za kimataifa
Tags:
Habari za kimataifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment