Adbox

Saturday, July 27, 2019

Arsenal yakubali kuweka rekodi kwa kumsajili Nicolas Pepe

Klabu ya Arsenal inamatumaini ya kumsajili winga Nicolas Pepe kutoka klabu ya Lille baada ya kukubali dau la mchezaji huyo kiasi cha £72m.

Rais wa klabu ya Lille Gerard Lopez amethibitisha siku ya Ijumaa kwamba klabu ya Napoli imekubali dau la mchezaji huyo mwenye miaka 24, Lakini klabu ya Arsenal imejitokeza na kuipiku klabu hiyo ya Italia kwa kutoa ofa yenye vipengele vizuri. 

No comments:

Post a Comment

Adbox