Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipofungua barabara ya Makorora-Msambweni jijini Tanga yenye urerfu wa kilometa nne iliyogharimu sh. bilioni 5.9, Machi 1, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela baada ya kufungua barabara ya Makorora-Msambweni jijini Tanga yenye urerfu wa kilometa nne iliyogharimu sh. bilioni 5.9, Machi 1, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kufungua barabara ya Makorora-Msambweni jijini Tanga yenye uerfu wa kilometa nne iliyogharimu sh. bilioni 5.9, Machi 1, 2020 .





No comments:
Post a Comment