Watu watano watumishi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) wamefariki dunia katika ajali ya treni ya uokoaji iliyogongana na kiberenge kati ya stesheni ya Mwakinyumbi na Gendagenda.
Ajali hiyo imetokea jana na majeruhi mmoja anaendelea na matibabu katika hospitali ya Wilaya Korogwe.
Monday, March 23, 2020
Watumishi watano wa TRC wafariki kwenye ajali ya treni
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment