Wakati anauawa alikuwa na umri wa miaka 38. Akiwa mkurugenzi wa televisheni ya ''TV Cultura'', Herzog alikuwa akizungumza kwa uwazi na aliunga mkono demokrasia na alikuwa mwanachama wa chama cha Kikomunisti cha Brazil.
Uchunguzi wa kifo chake ulifunguliwa mwaka 1992, lakini ukafutwa na mahakama kwa kuzingatia sheria ya msamaha ya mwaka 1979. Uchunguzi wa kifo cha Herzog ulifunguliwa tena mwaka 2018.


No comments:
Post a Comment