Timu ya Taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17 jana imefungwa mabao 5-0 na wenyeji, Uganda kwenye mchezo wa marudiano kufuzu Fainali za Kombe la Dunia Uwanja wa Lugogo Jijini Kampala hivyo kutolewa kwa jumla ya mabao 6-2 kufuatia kushinda 2-1 kwenye mechi ya kwanza Machi 1 nyumbani, Dar es Salaam.
Sunday, March 15, 2020
Tanzania yatupwa nje mbio za fainali za kombe la dunia wanawake U-17
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment