Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Dkt. Binilith Mahenge (kushoto) pale viongozi wa Mkoa wa Dodoma walipokagua na kujionea ujenzi wa Shule ya Wasichana ya Bunge ya kidato cha Tano na Sita iliyopo Kikombo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia) pamoja na viongozi wa Mkoa wa Dodoma wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Dkt. Binilith Mahenge (katikati) wakimsikiliza Msimamizi Mshauri wa Majengo ya Shule ya Wasichana ya Bunge ya kidato cha Tano na Sita, Ndg. Howard Fuka tukio lililofanyika leo Kikombo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma. Wengine ni kamati ya ujenzi wa Shule ya Wasichana ya Bunge.




No comments:
Post a Comment