Rais John Magufuli amesema hadi leo Jumapili Machi 22, 2020 watu 12 wamebainika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona, Awali walikuwa sita.
“Wagonjwa wa corona Tanzania wamefikia 12, wanne ni Raia wa nje na wanane ni Raia wa Tanzania, kwa bahati nzuri wote wanaendelea vizuri, hatuna kifo na hata mgonjwa wa kwanza wa corona Tanzania kutoka Arusha (Isabela) amepimwa na kukutwa negative”- Rais Magufuli.
Sunday, March 22, 2020
Rais Magufuli atangaza wagonjwa wa corona wafikia 12
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment