Adbox

Monday, March 16, 2020

Picha: Rais Magufuli akagua daraja la juu Ubungo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita kukagua Maendeleo ya ujenzi katika sehemu ya  gorofa ya pili ya barabara ya juu Ubungo Interchange ambayo iko katika hatua za mwisho kukamilika kwa ajili ya magari kuanza kupita. Mradi mzima wa Makutano hayo ya Ubungo umefikia asilimia 75.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale wakati akielezea Maendeleo ya ujenzi wa Barabara za Juu katika Makutano ya Ubungo, Ubungo Interchange jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Adbox