Adbox

Sunday, March 15, 2020

Iran: Waathirika 4339 wa virusi vya corona wapona

Watu 611 wamekwishafariki  nchini Iran kutokana na virusi vya corona.

Wizara ya afya nchini Iran imefahamisha kuwa idadi ya watu ambao wamekwishafariki kutokana na virusi vya corona inazidi kuongezeka tangu kuanza kwake.

Watu wengine  97 wamepimwa na kukutwa wakiwa na virusi vya corona  kwa muda wa masaa 24 yaliopita.

Niwa 611 ambao wamekwishafariki  baada ya kutangazwa kufariki kwa watu wengine 97.

Wizara hiyo imeendelea kufahamisha kuwa  watu  wengine  1365 wameambukizwa  virusi hivyo ambavyo imekuwa tishio kute ulimwenguni.

Waziri wa afya wa Iran ametangaza  kupitia msemaji wake Kianush Jahanpour  imefahamisha kuwa  miongoni mwa waathirika  12729 ,  waathirika  4339 wamepona  baada ya kupewa matibabu.

No comments:

Post a Comment

Adbox