Adbox

Friday, March 13, 2020

Coronavirus: Makanisa Catholic yote yamefungwa Roma

Makanisa Catholic yote yamefungwa Roma, Italia kufuatia kuenea kwa kasi kwa virusi vya corona, hadi sasa Italia ina jumla ya wagonjwa wa corona 15113 na waliofariki hadi jana ni 827, Waziri Mkuu wa Italia amesema watazifunga Bar zote na biashara nyingine isipokuwa maduka ya dawa.

No comments:

Post a Comment

Adbox