Idadi ya waliofariki kutokana na virusi vya corona nchini China imeongezeka na kufikia Watu 1016, uwezekano wa vifo kuongezeka ni mkubwa.
Watu walioathirika na virusi hivyo mpaka sasa ni 42,638 hii ni kwa China pekee, na kati yao Watu 7333 wako mahututi, Watu 21 657 wanahisiwa kuwa na virusi hivyo na idadi ya walioruhusiwa Kutoka Hospitali baada ya kupatiwa matibabu imeongezeka na kufikia 3996.
Tuesday, February 11, 2020
Watu 1016 wafariki kwa virusi vya corona nchini China
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment