Wizara ya Afya ya Japan imethibitisha kuongezeka kwa Watu wengine 44 wenye virusi vya corona kwenye Meli ya Diamond Princess na hivyo kufanya idadi ya wagonjwa kwa Japan kufikia 218,Meli hiyo ipo chini ya uangalizi maalum wa siku 14 na abiria wametakiwa kubaki ndani ya Meli hiyo ili kuzuia maambukizi zaidi.
Kufuatia Watu wengine 44 kuathirika na virusi vya corona ndani ya Meli iliyowekwa chini ya uangalizi ya Diamond Princess, Japan, abiria wamesema kulazimishwa kubaki kwenye Meli hiyo kutawetea madhara zaidi, Marekani imesema itawatoa Raia wake kabla ya siku 14 za uangalizi.
Thursday, February 13, 2020
Wagonjwa wa Virusi vya Corona wafikia 218 Japan
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment