Licha ya kuangushwa chini mara mbili, Wilder pia alikuwa akivuja damu kwenye Sikio lake la kushoto kitendo kilichosababisha mwalimu wake kumuomba Mwamuzi amalize pambano hilo baada ya Wilder kutembezewa kichapo kwenye Kona ya Ulingo.
Wawili hawa mpaka wanakanyaga ardhi ya MGM GRAND kila mmoja alikuwa hajapoteza pambano lolote.


No comments:
Post a Comment