Adbox

Wednesday, February 19, 2020

Simbachawene akutana na watendaji wakuu wa jeshi la Polisi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene(kushoto) akimfafanulia jambo Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP),Simon Sirro, leo February 19, 2020 wakati wa majadiliano ya Utendaji Kazi wa Jeshi la Polisi Nchini.

Simbachawene ameanza ziara ya kuzitembelea Taasisi mbalimbali za Wizara hiyo.

No comments:

Post a Comment

Adbox