Akizungumza na Muungwana blog diwani wa kata ya Luponde Ulrick Msemwa amethibitisha ukweli wa taarifa hizo kwa mujibu wa taarifa za awali alizopokea kutoka kwa mtendaji wa kata ya Luponde Patrick Mtundu.
Na Amiri kilagalila, Njombe
Martin Nyigu (35) mkazi wa kijiji cha Lusitu,kata ya Luponde,halmashauri ya mji wa Njombe,mkoani Njombe amefariki dunia kwa kupigwa na radi leo majira ya saa 9 alasiri akiwa ananyoa nywele saluni huku kinyozi na wateja waliokuwa wanasubiri huduma wakiwa salama.
Akizungumza na Muungwana blog diwani wa kata ya Luponde Ulrick Msemwa amethibitisha ukweli wa taarifa hizo kwa mujibu wa taarifa za awali alizopokea kutoka kwa mtendaji wa kata ya Luponde Patrick Mtundu.
Akizungumza na Muungwana blog diwani wa kata ya Luponde Ulrick Msemwa amethibitisha ukweli wa taarifa hizo kwa mujibu wa taarifa za awali alizopokea kutoka kwa mtendaji wa kata ya Luponde Patrick Mtundu.

No comments:
Post a Comment