Adbox

Monday, February 17, 2020

Mtuhumiwa wa madawa ya kulevya akamatwa Tanga

Mtuhumiwa Hamad Mbaraka (32) mkazi wa Barabara ya 19 Ngamiani Kusini amekamatwa na Maafisa wa Mamlaka ya Kuthibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya Jijini Tanga akiwa na mfuko mmoja, pakiti ndogo 3, Kete moja yenye unga unaodhaniwa kuwa ni Dawa za kulevya.
Mtuhumiwa yuko mahabusu Chumbageni

No comments:

Post a Comment

Adbox