Adbox

Thursday, February 27, 2020

Marekani yamuua kiongozi wa Alshabab aliyepanga shambulizi nchini Kenya

Marekani imemuua kiongozi wa Alshabab aliyepanga shambulizi la nchini Kenya mwezi uliopita
Marekani imemuua kiongozi wa kundi la Alshabab aliyepanga shambulizi katika ngome yake ya jeshi la Afrika (AFRIKOM) nchini Kenya mwezi uliopita.

Kiongozi wa kundi la Alshabab akiwa na mkewe wameuwa katika shambulizi la anga lililofanywa na jeshi la Marekani nchini Somalia

No comments:

Post a Comment

Adbox