Mkuu wa chama tawala nchini Kenya kiitwacho Jubilee, Raphael Tuju, amepata ajali katika eneo la Magina, Barabara Kuu ya Nakuru-Nairobi. Tuju alikuwa akielekea kwenye mazishi ya rais mstaafu wa Kenya, Daniel Arap Moi, eneo la Kabarak ambapo anatarajiwa kuzikwa leo Jumatano, Februari 12, 2020
Ripoti zinasema kuwa gari alimokua akisafiria liligongana na matatu na kupata majeraha madogo ingawa dereva wake amevunjika mkono katika ajali hiyo ya leo asubuhi lakini Tuju atapelekwa Nairobi kwa uchunguzi zaidi.
Wednesday, February 12, 2020
Home
/
Top News
/
Katibu mkuu wa chama tawala nchini Kenya apata ajali akielekea kwenye mazishi ya Rais Arap Moi
Katibu mkuu wa chama tawala nchini Kenya apata ajali akielekea kwenye mazishi ya Rais Arap Moi
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment