Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas, akiwa amepanda pikipiki moja kati ya 10 zilizotolewa na Kampuni ya Kinglion ndani ya Jeshi la Polisi kwaajili ya shughuli mbalimbali za Jeshi. (Picha na Jeshi la Polisi
)
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas, wa saba kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Jeshi la Polisi Makao Makuu pamoja na wawakilishi kutoka kampuni ya Kinglion baada ya kukamilika zoezi zima la makabidhiano ya kupokea pikipiki 10 aina ya Kinglion zitakazotumia Mkoani Dodoma kwaajili ya shughuli za Jeshi la Polisi (Picha na Jeshi la Polisi)




No comments:
Post a Comment