Adbox

Saturday, December 7, 2019

RUWASA yatakiwa kupunguza mchakato wa manunuzi

RUWASA yatakiwa kupunguza michakato na utaratibu mrefu wa manunuzi, kinachotakiwa ni miradi kukamilika kwa wakati na wananchi wapate maji.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso.

No comments:

Post a Comment

Adbox