Bingwa wa dunia wa uzito wa juu Anthony Joshua amesema tatizo la kiafya lilimfanya achoke sana katika pambano lake la mwanzo lililofanyika Juni ambapo alipokea kichapo kitakatifu kutoka kwa Andy Ruiz Jr.
Joshua mwenye miaka 30, Jumamosi amelirejesha tena mikononi mwake taji la dunia huko Saudi Arabia baada ya kumtwanga ngumi Mmexico Ruiz Jr. katika raundi 12.
Joshua amesema ana tatizo la afya la muda mrefu, na kwamba katika chumba cha kubadili nguo kabla ya pambano alipewa ndoo ya barafu na kuwekwa kichwani huku akijuliza kwanini anajihisi hivyo.
Awali Joshua alidokeza kuwa anataka kubainisha juu ya tatizo gani lililotokea hadi pambano lake la mwanzo akashindwa kwa mara ya kwanza tangu aanze kupamban
Monday, December 9, 2019
Home
/
Top News
/
Joshua asema tatizo la afya lilimfanya apigwe kwenye pambano la kwanza dhidi ya Andy Ruiz Jr
Joshua asema tatizo la afya lilimfanya apigwe kwenye pambano la kwanza dhidi ya Andy Ruiz Jr
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment