Adbox

Wednesday, November 20, 2019

Waziri Balozi Mahiga apanda Miti kumuunga mkono Makamu wa Rais

Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Dkt Balozi Agostino Mahiga (Mb) akipanda mti katika eneo la ofisi za Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma 
Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Dkt Balozi Agostino Mahiga (Mb) {kushoto} akimwagilia mti baada ya kuupanda katika eneo la ofisi za Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma
Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Dkt Balozi Agostino Mahiga (Mb) {kushoto} akichagua miti kabla ya kuanza zoezi la upandaji miti katika maeneo ya Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma

No comments:

Post a Comment

Adbox